Roma hakuona haja ya kumficha tena ili hali wanajeshi hawa wapo ndani ya hili eneo lakini pia Rose alikuwa ashaona namna ambavyo wanajeshi hawa wamebadilika , lakini pia aliona anasababu ya kumwambia Rose kutokana na kwamba yeye ndie aliemsadia makazi ya vijana wake hapa Tanzania pasipo kuuliza sana maswali.
“Mnaweza kuendelea na Starehe yenu vijana msinizigantie”Aliongea Roma na kuwafanya vijana hawa washushe pumzi kwani hawakuwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments