I990-CIA HQ USA ,VIRGINIA
Ilikuwa ni siku ya asubuhi ndani ya makao makuu ya CIA ambayo yanapatikana ndani ya jimbo la Virginia sehemu inayofahamika kwa jina la Lenley.
Sasa asubuhi hii ndani ya makao makuu haya alionekana bwana mmoja hivi wa kizungu aliekuwa akiingia ndani ya hili eneo akiwa na gari yake aina ya Benz , bwana huyu baada ya kushuka kutoka kwenye gari sehemu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments