Ilikuwa ni mchana wa siku ya jumatano , siku ya sikukuu ya Eid al-Fitr saa saba mchana alionekana Blandina akiwa ndani ya Eneo la Bagamoyo Kiwanga, hii siku ilikuwa ndio ya ufunguzi rasmi wa kituo cha kulelea watoto cha Son and Daughter orphanage, licha ya kwamba tayari kituo hiki kilikuwa tayari kishaanza kulelea , lakini ufunguzi wake rasmi haukuwa umefanyika na siku hio ya jumatano …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments