Reader Settings

Roma baada ya kufungua mlango aliwaona polisi wanne waliokuwa wapo wameshikilia siraha zao na kwa jinsi ambavyo wamezishikilia ni kama walikuja kukamata jambazi la kimataifa.

“Tumepatiwa taarifa mnarekodi filamu za ngono na mpaka sasa mpo chini ya ulinzi , mnahaki ya kutafuta wanasheria,Vaeni nguo na mtaongozana na sisi kwa ajili ya uchunguzi”Aliongea polisi mwenye kitambi na kumfanya Roma ashangae na polisi hawa kama kawaida yao, …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next