Reader Settings

“Oya mrembo unaondokaje bila ya kuniambia ni nini kinaendelea?”Aliuliza roma mara baada ya kumkuta Amina akijiweka sawa nguo yake maana ilikuwa fupi mpaka alikuwa akiona aibu kwa jinsi polisi walivyokuwa wakimwangalia..Amina alisita sita kwa muda na kisha akamgeukia Roma.

“Ukweli ni kwamba sababu ya kujiudhuru kazi yangu ya utangazaji na kurudi ndani ya Tanzania ni kwa ajili ya ndoa na familia yangu ilitaka kunifungisha ndoa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next