Fayezi alimsogelea Roma na kumfanya Amina asijue ni jambo gani Fayezi analikusudia kwenye moyo wake , kwani kwanza hakuonesha hasira yoyote kwenye macho yake na aliweka sura yenye tabasamu.
“Samahani sana Mr ila naomba kulifahamu jina lako?”Aliongea Fayez
“Naitwa Roma Ramoni , na Mr Fayez kama una hasira na mimi kwa kukuchukulia mwanamke wako na kulala nae naomba utoe kabisa hasira zako hapa , najua …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments