Roma ilibidi amtoe Amina kwenye kifua chake kwani aliona mwanadada huyu ni kama anataka kumng`ata sasa lipsi za midomo yake ,Fayezi na mzee Kanani ni kama hawakuwa wakiamini kile ambacho kilikuwa kinatokea , waliona mpaka kufikia hatua hio jambo lishakuwa gumu , Fayezi aliwaangalia wawili hawa na hata ile hali aliokuwa nayo ilimpotea kwenye macho yake .
“Mr Rma nadhani mpaka kufikia hapo , unaonesha …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments