BOLIVIA 1990.
Katika jambo ambalo Carlos , alikuwa amekosea ni kumuacha Ryani kumtoka kwenye macho yake, alijitukana kwa makossa aliokuwa amefanya kwani Ryani alionyesha kumzidi akili.
Misheni ya Carlos kuingia ndani ya Kambi hii ambayo ilikuwa ikiendesha project ya Pro Human ilifanikiwa kwa asilimia mia moja , na bwana huyu kutokana na utaalamu wake uliotukuka katika maswala ya kijasusi , aliweza kujipenyeza na kukubalika kama …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments