KENYA –NAIROBI.
Mke wa Raisi Kamau Kamau , aliekuwa akifahamika kwa jina la Maina alikuwa ameketi eneo la sebuleni akiangalia Runinga ndani ya ikulu , licha ya mwanamama huyu kuangalia kile kilichokuwa kikioneshwa na chaneli maarufu kutoka Marekani , lakini alionyesha kukosa umakini kabisa, baada ya kuona haelewi alizima runinga ile na kunyanyuka na kulisogelea Friji lililokuwa hapo sebuleni na kutoa chupa ya Wine na …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments