Reader Settings

Roma alimaliza taratibu zake zote baada ya kuamka na ni muda wa saa mbili kamili za asubuhi alishuka mpaka sebuleni kwa ajili ya kujipaitia kifungua kinywa kilichoandaliwa na BiWema.

“Bi Wema msimuamshe Edna muacheni alale mpaka atakaposhituka mwenyewe”Aliongea Roma mara baada ya kumsalimia Sophia na Bi Wema.

“Jana Miss na wewe mlirudi saa ngapi?”

“Tulirudi mapema tu , niliwakuta mnaangalia tamthilia yenu na siku taka …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next