Roma alielezwa kwa ufupi sana na mke wa Tajiri Azizi juu ya sababu ya wao kuja ndani ya hiki kituo kwa siku hii ya leo.
“Kwahio mmepanga kuonana na mke wa Raisi wa Kenya ndani ya hiki kituo?”Aliuliza Roma ili aelewe vizuri na mama huuyu alitingisha kichwa , licha ya kwamba amemuelezea Roma , lakini ukweli ni kwamba mwanamama huyu hakuwa na matumaini yoyote na …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments