Mheshimiwa Raisi Kamau alionekana kuwa na wasiwasi mwingi mno na hii ni baada ya kukosekana hewani kwa Dondwe na kumfanya kutofahamu ni nini kinaendelea nchini Tanzania.
Bwana huyu alijilaumu sana kumruhusu Maina kwenda Tanzania pasipo kuchukua tahadhari zozote.
Ukweli ni kwamba baada ya Maina kupanda ndege na baada ya masaa mawili kupita ndipo mheshimiwa alipopewa ujumbe na Deo kuwa inawezekana Madam anaenda kuonana na mke …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments