“Baba , Dada naomba mnisamehe….Hii..Hii”Blandina alikuwa akilia mpaka anatia huruma ,Jestina ambaye alikuwa amekaa upande wa kushoto ndani ya ofisi hii ya Mkuu wa kituo, alimuonea sana huruma dada yake.
Mzee Atanasi licha ya kwamba alikuwa na hasira juu ya mtoto wake huyoo wa kwanza katika familia yake , lakini kwa namna ambavyo Bladnina alivyokuwa akilia na kuonesha hali ya kujutia , alijikuta kama mzazi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments