“Wife ni wapi umesikia hilo jina?”Aliuliza Roma na kumfanya Edna afikirie kidogo , ukweli ni kwamba licha ya Mrembo huyu alikuwa akijiuliza wale wazungu wana uhusiano gani na Roma, Edna mwenyewe muda mwingine alikuwa akijishangaa ni kwanni licha ya mambo mengi kumtokea yanayohusiana na Roma alikuwa akiyapotezea.
“Ni wale wazungu wako”Aliongea Edna na kumfanya Roma atoe tabasamu la uchungu ,Roma aliona anapaswa kumpa Edna jibu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments