Edna akili zilimrudia na alijitoa kwenye mwili wa Roma na kuinama na akachukua viatu vyake na kumfanya Roma amwangalie.
“Turudi nyumbani nataka nikapumzike”Aliongea Edna kwa sauti ndogo na kumfanya Roma atoe tabasamu la uchungu kwani alikuwa akipanga kwenda hatua nyingine lakini mwanamke huyu alijitoa ghalfa kwake.
“Bebi Wife , hatujamaliza bwana”Aliongea Roma huku akimwangalia Edna kwa tabasamu, lakini Edna alionekana kutokuwa tayari , kwani hata …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments