Roma alikuja kuamshwa na simu ambayo ilikuwa ikiita mfululizo, na aliichukua kivivu na bila ya kuangalia jina la mpigaji , aliweka sikioni.
“Your Majest!”Ilikuwa ni simu ya Diego ambayo ilimfanya Roma kuweka simu yake sikioni ili kusikia viizuri , kwani siku zote kila alipokuwa akipoea simu kutoka kwa Diego ni lazima kuna tatizo.
“Diego nadhani kuna tatizo , achana na itifaki za kiheshima nieleze shida …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments