Edna alijikuta akitokwa na machozi mengi sana , baada ya kumsikiliza Bi Wema kwa umakini , hakujua kulikuwa na siri kama hio ndani ya familia na yeye ameishi miaka yote hio pasipo kugudua , mrembo huyu alijikuta akiwa kwenye hali ya huzuni sana, alijikuta akipandwa na hasira kwa wakati mmoja, lakini pia akumuonea huruma mama yake .
“Kwahio Bi Wema kwa maneno marahisi ni kwamba …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments