Reader Settings

“Chino karibu sana”Aliongea Bi Wema kwa uchangamfu huku akimkaribisha Mzee Chino ambaye alionyesha pia kumfahamu Bi Wema.

“Asante sana Wema , ni muda sasa tokea mara ya mwisho tuonane”

“Ni kweli nadhani ni Zaidi ya miaka mitano sasa”Aliongea Bi Wema huku akiwa na tabasamu , lakini kwa Roma na Edna walikuwa kwenye hali ya mshangao, hawakuelewa kwanini yuke muhudumu wa mgahawa kutoka Upepo Beach Gaeden …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next