Roma alimwangalia Mke wake kwa jinsi alivyokuwa na wasiwasi na alijua kabisa kuna tatizo ambalo linaendelea kwenye kampuni.
“Kuna nini Mke wangu?”Aliongea Roma huku akimwangalia Edna ambaye alijikalisha kivivu kwenye Sofa.
“Inaonekana mtu ambaye amevujisha taarifa , alikuwa na mpango Zaidi ya huo”
“Kwanini , kuna jambo ambalo limetokea kwenye kampuni?”
“Ndio Roma , Benki hawataki kunikopesha licha ya kufanya nao biashara kwa miaka kadhaa”Aliongea …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments