Upande mwingine ndani ya Ikulu ya mheshimiwa Senga , muda wa asubuhi wakati mheshimiwa huyu akiwa anaendelea na majukumu yake ya kazi kama kawaida , mara mlango wake ulifunguliwa na Msemaji wa Ikulu Miss Fatum Adinani.
“Mheshimiwa kuna taarifa mbaya imetufikia”Aliongea Fatuma na kumfanya Senga akae vizuri kwenye kiti , bwana huyu alikuwa ashazoea taarifa za kushitusha sana katika uongozi wake na alichukulia kama jambo …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments