Reader Settings

Edna alishangaa kwa kitendo cha Meneja wa Benki ya Swiss kupiga magoti huku akionyesha hali ya kumuogopa , kwake ilikuwa ni mshangao kwani kwanza bado mshangao wa kwanza kuhusu pete kutoa mwanga wa ajabu haukuwa umeisha , lakini na Harris anaendelea kumshangaza Zaidi.

“Meneja Harriss! Naomba unyanyuke tuongee”Aliongea Edna huku akiwa na wasiwasi kweli , hakujua ni nini kilichotokea, alijiuliza kwanini hawa wazungu walikuwa wakimuita …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next