Edna baada ya kutoka ndani ya benki ya Swiss moja kwa moja alinyoosha mpaka ndani ya Paradise Hotel iliokuwa ikipatikana kando ya ufukwe wa Coco ni moja ya hoteli ya nyota tano pia maarufu ambayo alikuwa akiimiliki .
Baada ya kuegesha gari yake sehemu maalumu , alishuka na kuingia moja kwa moja eneo la mapokezi na baada ya wafanyakazi hawa kumuona tu , walikosa utulivu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments