Reader Settings

Unajua nini baada ya taarifa inayomuhusu Edna kuanza kusambaa mtandaoni , Ajenti Flamingo alipigiwa simu na afande Maeda kuwa makini na Hades , kwani kwa namna ambavyo anaona hio taarifa , aliamini ni Dhahiri Hades angeua mtu na ndio maana Magdalena asubuhi yote alikuwa amejibanza mita kadhaa kutoka lilipokuwepo geti la nyumba ya Edna na hata wakati ambao ,Mzee Chino anaingia alimuona lakini pia …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next