Reader Settings

Ilikuwa ni baada ya Roma kumwachia mzee Alex , Upande wa nje wa jengo hili la JR alionekana Scorpion ambaye alikuwa amembeba Mzee Alex kama vile amebeba mtoto , huku mzee Alex akiwa amezirai na hakuonesha kuwa na aina yoyote yale ya majeraha kwenye mwili wake.

Baada ya Scorpion kumuingiza mzee Alex kwenye gari aina ya Toyota Corolla alitoweka eneo la tukio huku watu wakiendelea …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next