Ni ndani ya ofisi ya ikulu ya taifa la Kenya anaonekana mheshimiwa Kamau Kamau akiwa ndani ya ofisi akiendelea na majukumu yake , huku mbele yake akiwa amesimama katibu muhtasi wake , Mheshimiwa huyu alioneskana kuna karatasi ambazo alikuwa akisaini kwani alipitia kila ukurasa na kisha kutia saini yake , kitendo ambacho kilidumu kwa takribani dakika kama kumi hivi mpaka kumaliza na kisha akamkabidhi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments