Roma aliendesha gari yake kuelekea nyumbani , bwana huyu alikuwa na hamu ya kutaka kujua ni mgeni gani ambaye amekuja moja kwa moja nyumbani kwake , kwani Roma alikuwa sio mtu wa kufahamika sana na hivyo kuwa na mzunguko wa watu wachache sana , lakini pia ni watu wachache sana ambao wanafahamu sehemu ambayo alikuwa akiishi.
Roma baada ya kufunguliwa geti na Derick aliingiza gari …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments