“Niambie kuna nini Chiara”Aliliuliza Roma kwa sauti ya Amri.
“Mfalme Madam amepoteza fahamu anachukuliwa kwenda hospitalini sasa hivi na gari ya wagongwa, tupo nyuma tunafuatilia”Aliongea Chiara na kumfanya Roma kushangaa na kusimama kwa wakati mmoja na kumfanya hata Clark ambaye amemzoea Roma, hakuwahi kumuona kwenye wasiwasi namna hio.
“Nakuja sasa hivi endelea kufuatilia ni hospitali gani anapelekwa”Aliongea Roma , hakukata kuuliza maswali mengi kwa wakaati …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments