Mheahimiwa Senga aliekuwa ndani ya ofisi yake alionekana kuchanganuyikiwa kutokana na simu mbalimbali zilizokuwa zikiingia kwa siku nzima ya siku hio kutoka kwa viongozi wakubwa duniani waliokuwa wakipiga na yote hio ilikuwa ni juu ya kifo cha Profesa Shelukindo.
Viongozi wengi walikuwa wakitaka kujua sababu iliopelekea mpaka Profesa Shelukindo kuuwawa kikatili ndani ya taifa linalosifika kwa Amani kama Tanzania, lakini licha ya simu hizo Raisi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments