Wote hawakuwa wakimtambua mwanaume ambaye alikuwa ameingia ndani ya chumba hiko cha Wodi ya daraja la Kwanza ndani ya hospitali hii kubwa ya Aghakhani.Matrida na Queen ambao walikuwa kwenye majonzi walimwangalia huyo mwanaume na kuonyesha kusubiria utambulisho wake.
Alikuwa ni mwanaume kijana lika la umri wa miaka therahini na tano hivi maji ya kunde alievalia suti.
“Habari yenu jamani, naitwa Felix Ndimbo”Alisalimia yule kijana lakini …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments