Reader Settings

Roma hakujali sana baada ya kumgonga Queen kwanza kabisa licha ya kujua mtu aliemgonga kuwa mwanamke , lakini hakujihangaisha kumwangalia usoni na kuendelea kupiga hatua na kumfanya Queen aliesimama , apandwe na jaziba.

“Wewe kaka!!!”Aliita Queen kwa sauti lakini Roma hakujali sana , aliendelea kutembea kuelekea upande wa kushoto wa jengo hili la Hospitali , alikuwa akitafuta sehemu nzuri kwa ajili ya kuongea na simu.

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next