Washington DC 2015
Ni ndani ya ofisi ya White House anaonekana mheshimiwa Barack Mabo akiendelea na majukumu yake kama kawaida , huku juu ya meza yake kukiwa na mafaili kama matano hivi yaliokuwa juu ya meza yake kulikuwa na makashabrasha kama matano hivi na kila kashabrasha lilikuwa na nembo ya bendera ya taifa ,mheshimiwa Barack Mabo alionekana kuwa bize kweli akiwa amevalia shati lake White …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments