Edna aliendelea na matibabu ndani ya hospitali kama daktari alivyoshauri.licha ya Edna kutaka kuendelea na matibabu akiwa nyumbani , lakini Bi Wema alikataa kwa msisitizo mkubwa sana kwa Edna kutorudi nyumbani na Edna kwakua alikuwa akimheshimu Bi Wema kama mama yake alitii na kuamua kubakia hospitalini huku majukumu yake ya kazi akiyafanyia ndani ya Wodi kama kawaida , upande wa kampuni majukumu yake yalibebwa na …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments