Reader Settings

Upande mwingine siku hio ya jumapili , alionekenana Tajiri Azizi akiwa ndani ya gari aina ya Range Rover Sport nyeusi iliokuwa barabara ya Bagamoyo road ikielekea upande wa Bunju B, kwani muda huo akiwa anaendeshwa na dereva wake alikuwa ndani ya eneo la Bunju A ,baada ya madakika kadhaa , Walikuja kukunja kushoto mara baada ya kufika mita kadhaa kutoka ilipokuwa Shule ya Sekondati ya …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next