Reader Settings

SIKU CHACHE NYUMA.

Ilikuwa ni siku ambayo Edna alitekwa na Kundi la Yamata Sect na kumpelekea hadi Roma kwenda mpaka hadi Msitu wa Mabwepande kwa ajili ya kuwapa kundi hilo jiwe la Kimungu.

Sasa siku hii muda wa asubuhi ndani ya nyumba hii hii ambayo Tajiri ameingia kuonana na mwanajeshi mstaafu Kweka , ndio muda ambao Jenerali mstaafu Athumani alikuwa akiingia hapo ndani na gari …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next