Ni kwa Zaidi ya dakika kumi na tano alizotumia profesa Clark katika kumpima Roma kwa kutumia CT Scan na ndipo alimpomruhsu kutoka ndani ya mashinne hio ,hakuishia katika vipimo vya aina moja tu bali aliendelea kumpima na baadhi ya vipimo vingine kama vile kuchukua damu yake na kuipima , Profesa Clark alionekana kuwa vizuri katika kazi yake.
“Alright Roma kwa hivi vipimo vya Damu itanichukua …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments