`
Ni siku chache tokea kifo cha Profesa Shelukindo kutokea ndani ya taifa la Tanzania , lakini pia ni siku chache tokea mheshimiwa Raisi Senga kukabidhiwa faili lililokuwa na taarifa zinazohusiana na Roma Ramoni.
Mheshimiwa asubuhi ya leo ijumaa alionekana ndani ya ofisi yake akiwa ameegamia kiti chake , siku ya leo kwa mheshimiwa huyu haikuwa ya kawaida kama siku za kawaida mabapo kwa muda …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments