Kamau alikuwa kwenye wakati mgumu sana , alishindwa ni jibu gani alikuwa akipaswa kulijibu ili kumridhisha mke wake Blandina , ni kweli bwana huyu alikuwa akijua maisha ya uvumilivu ambayo aliyaishi mke wake na alikuwa pia akiumizwa na swala hilo , lakini kwake Kamau cheo na madaraka aliokuwa nayo ndio yaliokuwa yakimfanya kuwa na maamuzi ya aina hio juu ya Blandina.
“Niambie Kamau ulikuwa ukijua …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments