Reader Settings

JIKUMBUSHIE TULIKOPITA

BAMAKO-MALI 2005

Ni pembezoni mwa jiji la Bamako kilomita kadhaa kutoka mtaa ufahamikao kwa jina la Nikamaero, sasa ndani ya hili eneo kuna jumba moja kubwa ambalo limejengwa katikati ya eneo ambalo limezungukwa na miti mingi ,jumba hili lilikuwa ni tofauti kidogo na majengo yote ambayo yalikuwa yakipatikana ndani ya mtaa huu wa Nikamaero, ni nyumba ambayo imejengwa kawaida sana lakini kwa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next