Dorisi alikuja kushituka muda wa asubuhi kabisa ya saa moja , alijishangaa kwa kulala muda mrefu mno baada ya kuangalia saa, alikuwa akikumbuka mara ya mwisho jana alikuwa na Roma na alipotelea usingizini wakati wakiwa eneo la Sebuleni , hakutaka kufikiria sana kwani aliona ni lazima Roma alimleta hapo chumbani.
Aliangalia kulia na kushoto mwa chumba kama kulikuwa na dalili yoyote ya uwepo wa mtu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments