Roma alishinda siku nzima nyumbani kwa Dorisi na kufanya mambo mengi ambayo wapenzi hufanya na kwa Dorisi alijisikia furaha kuwa karibu na Roma tena tokea walivyotoka Japani.
Muda wa saa nane za jioni ndio muda ambao Roma aliweza kupata simu kutoka kwa Jestina akimuomba waonane siku inayofuuata yaani jumapili saa saba mchana , Roma alishangaa mualiko huo kutoka kwa Jestina, kwani hawakuwa na ukaribu ambao …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments