Reader Settings

Ilikuwa ni siku ya jumapili asubuhi ndani ya familia ya Edna walionekana watu watatu wakiwa kwenye meza wakijipatia kifungua kinywa , aliwepo Bi Wema , Sophia pamoja na Edna , haikueleweka jana Sophia alimwambia mbinu gani Edna , ila Sophia na Edna walikuwa wakiangaliana na kisha kutabasamu.

“Bi Wema leo nitaenda na Sophia kutembelea watoto”Aliongea Edna na Bi Wema aliitikia kwa kichwa kuwa anakubali huku …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next