Reader Settings

Ni ndani ya mgahawa wa kisasa uliokuwa ndani ya hoteli ya Landamark , Roma alionekana akinyanyuka kwenye kiti huku mbele yake upande wa kushoto akiwa amekaa Jestina , kwa mpangilio wa vitu vilivyokuwa juu ya meza , ilionyesha Roma alikuwa hapo Zaidi ya lisaa na sasa alikuwa amemaliza kile kilichomfanya kukutana na Jestina na alikuwa akitaka kuondoka..

Roma baada ya kunyanyuka alitabasamu na kisha kutingisha …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next