Reader Settings

Roma aliekuwa kifua wazi alimwangalia Edna aliekuwa amesimama huku akiwa ameshikilia mfuko , kwa jinsi Edna alivyokuwa amebadilika kutokana na mtindo wake wa Nywele ulimfanya Roma kumwangalia kwa mshangao ,bwana huyu alijikuta akimeza fumba la Mate , kwani Edna alikuwa akioneka kama malaika mbele yake na kuishia kujiambia kuwa Edna hakika alikuwa mzuri kuliko wanawake wote ambao ashawahi kuwa nao katika mahusiano , waliokuwa wamepita …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next