Reader Settings

Roma alimwangalia Neema Luwazo ambaye alikuwa akionekana kupendeza sana usiku huo , mwanamke huyo mwenye heshima ya Unaibu Waziri ndani ya taifa la Tanzania usiku huu alikuwa amevalia Gauni lake lenye Rangi nyeusi na nyekundu huku akiwa amevalia Wigi lililomfanya kuonekana mrembo Zaidi.

Khatib na Mwenzake waliokuwa na nia ya kumletea vurugu Roma hapo ndani walikuwa wakimfahamu Vyema Mrembo Neema luwazo, walijua mwanamke huyo kama …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next