Reader Settings

Mwonekano wote wa jeshi la upande wa Archimonde lilibadilika kwa asilimia mia , yaani kwanza kucha za mikono yao zilibadilika na kuwa ndefu na macho yao pia , walikuwa na mwonekano wa Zombie kabisa na walikuwa wakitisha na mbaya Zaidi licha ya kwamba kulikuwa na giza sana , macho yao yalionekana yakitoa mwanga flani wa ajabu, huku kuanzia sehemu ya macho yao na kwenda mashavuni …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next