Magdalena hakuamini kama mtu aliekuwa mbele yake ni Roma , aliona ni kama miujiza na kujiuliza kwa wakati mmoja ni muda gani kafika ndani ya hili eneo , kwani ni sekunde chache mbele alionekana kukata tamaa kabisa , lakini sasa hivi tu anatokea mbele yake.

“Roma unafanya nini hapa?”Aliongea Magdalena huku akijinyanyua kivivu

“Unauliza niko hapa ulifikiri nimependa , Nyie kama jeshi la Tanzania mnapata …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next