Roma hakuwa na wasiwasi kabisa na watu waliokuwa mbele yake , kwanza baada ya kuangalia kikombe hiko ambacho kilikuwa kimetengenezwa kwa dhahabu alianza kukirusha rusha juu kama kamchezo.
“Mfalme Unapanga kufanya nini na hiko kikombe?”
“Mimi kwangu hakina thamani yoyyote na sina mpango nacho , lakini pia sitaki kuona mkiendelea kupigania juu ya hiki kitu , hivyo nitakiharibu mbele yenu ili kila mtu akose na …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments