Reader Settings

Edna alimwangalia Roma kwa dakika kadhaa, alimkagua kwanzia chini mpaka juu na kuona hakuwa na tofauti yoyote na alijiambia moyoni huenda alikuwa kwenye mambo yake na yeye amesimama hapo muda wote kumsubiri.

“Ulitaka niondoke ili ubakie huku usiku mzima kama kawaida yako?”Aliuliza Edna kwa hasira

“Wife ndio maana nikakuambia utangulie , mimi ningekuja hata na usafiri wa kukodi”Aliongea Roma lakini Edna hakujibu kitu Zaidi ya …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next