Reader Settings

Roma alimwangalia Edna na kisha kutabasamu , kwa ukubwa wa hii ofisi aliona mke wake alikuwa akijitahidi kuipandisha hadhi yake , jambo ambalo kwake halikuwa kipaumbele sana , yeye alikuwa amekubali kuja kuongoza hio kampiuni kutokana na kwamba alikuwa ashaweka ahadi na hakuwa mtu wa kupenda sana kukaa kwenye maofisi makubwa kama hayo.

“Eniwei hii itakuwa sehemu nzuti kwa mimi kucheza gemu pasipo usumbufu”Aliwaza Roma …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next