“Mbona umeshangaa hivyo Nasra unafikiri hawezi?”Aliuliza Edna na kumfanya Nasra kurudia katika hali ya ukawaida.
“Hapana Boss nimeshangaa , maana kaanza kazi juzi na kupandishwa cheo mpaka kuwa Director , si jambo dogo”
“Ni kweli unayosema , lakini Roma amefanikisha jambo kubwa ka kampuni kuliko wafanyakazi wote waliofanya kazi hapa miaka na miaka , hivyo naona anafiti kwenye hio nafasi”Aliongea Edna na kumfanya Nasra atabasamu, …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments